Mrembo Jack Patrick atoka na viwalo vya 8m

sasa akivaa we inakuhusu nn ? huo ushamba ! hapo ndo inabd ujpnde naww umzidi sio unamcfia 2 wakat ww huna ki2 zaid y iyo smartphone yko, fanya mamb umpte naw uvae vya 10m, pumbalavu ww
 

Alikua anaitwa jack mzungu enzi hizo
 
Udaku gani huu mpaka tattoo zimewekwa kwenye price ya "viwalo".. Hahaha
 

Huyu sio aliedakwa china na sembe au?
 
Uzi wa zamani duh..!! Tumwombee atoke salama ila sijui vane atakuwa kwenye hali gani jack akitoka....!!!
 
Sasa mnatuletea thread za watu wako jela si tungezungumzia hata kichaa yoyote ambae yuko mtaani?
 
Kuna msichana mmoja wa nchi za magharibi alifungwa nchi hizo baadaye akakutwa na mimba aliyoipata jela. Prison staff wa nchi hizo ni watu wabaya sana!
 
watu wanataka mbu*nye tu....hata uvae ESCROW mwili mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…