Mrembo kikojozi

gwaza

Member
Joined
May 24, 2011
Posts
9
Reaction score
1
jamani kuna rafiki yangu amepata demu ni mrembo ila nikikojozi, hivyo anaomba msaada.
 
Mtu yeyote kati ya miaka 6 na 85 anatakiwa awe na uwezo wa ku control mkojo.. otherwise amuone dactari kwani hiyo si hali ya kawaida
 
naomba tuwekane sawa hapa..kikojozi wa nini hasa!!
 
Kama ni kikojozi wa mkojo wa kawaida, basi hilo ni tatizo. Mwambie asimkaripoie, awe mpole na amwelewe. Amuulize tatizo hilo liko tokea lini? Then, ampeleke kwa daktari. nadhani hilo sio tatizo la kumwacha au kumdharirisha! Kama unampenda, basi utamlinda!
 
kama ni mkojo ule mwingine, basi ............ jamaa anamfikisha hasa!
 
Kama ni ule ukojozi wa kuchokonolewa basi jamaa atakuwa anamridhisha.....! Vinginevyo, amvue ngua, awachokoze siafu, na kumkalisha katikati.....! Hatarudia tena....!
 
Tatizo la bedwetting ni kubwa kuliko wengi wetu tunavyoweza kufikiria humu MMU na sababu huwa ni nyingi,nyingine ni za kisaikolojia na nyingine ni za maumbile. Mwambie jamaa atafute ushauri wa wataalam,na kikubwa kuliko vyote hapa ajitahidi asimudhalilishe kama alivyoshauri mdau mmoja hapo juu.
 
mi mpaka nilipoanza kubalehe ndo tatizo likaniisha lenyewe automatically, kwa miaka5 sijui?
sikuwah kuimbiwa kikojozi wala kuchapwa na mzazi sababu ya kujikojolea kitandani.
ila huyo akamuone daktari, it's not too late.
 
Acha uongo wewe huyo atakuwa demu wako''Mfunge nepi au pampasi.
 
Hio sooo.... pole zake dada... Nimependa majibu ya Bishanga. I second that.
 
jamani kuna rafiki yangu amepata demu ni mrembo ila nikikojozi, hivyo anaomba msaada.

kwanza umesema demu wa rafiki yako ila okay sio mbaya mwambie akamuone daktari kwa msaada zaid mana atawasaidia kwa hilo
 
Good idea.
 
Huwe unamwamsha usiku mara kwa mara akakojoe, baada ya muda atazoea tu!!!!!
 
Kaka hilo tatizo limemuanza ukubwani au alikuwa nalo toka utotoni?its important aende hosp especially kama limeanza ukubwani coz inaweza ikawa infection or an underlying disease like diabetes or God forbid even cancer of the bladder.she has to see a urologist. just reassure her kwamba wapo wengi wenye tatizo hilo na it can be solved
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…