Na tusikie dada/mwanamke akilialia eti hana bwana au maisha magumu au sijuwi ni kule...
Kuna wenzake wana shida kule yeye lakini wana enjoy life tu, pamoja na majanga ya kutisha kimaisha..
Kutanana na :- Legless Model, Kanya Sesser
Huyu amezaliwa bila miguu huko Thailand ..ni mlemavu wa kuzaliwa sasa hiyo picha inayoonyesha miguu yake imekatika kama kwa ajali na kutoka damu umeipata wapi?
Eti hujafa haujaumbika, Mkuu unajua maana ya huo usemi? Usemi huo unamaana kama tu mhusika alizaliwa hana ulemavu akaja kupata ajari then akawa mlemavu