Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Hata usiwaze ule ulikuwa ni utani na yameisha...nigombane na my lovely sista ili nini sasa haina faida..Kaka yako niko pamoja naweeee[emoji122] [emoji122] [emoji122]Ndiyo maana nazidi kukupenda kadiri dunia inavyozidi kubadilikaaa, ahsante kwa msamaha wakooo najutia kosa langu nakuahidi kuwa Dada bora nasiyo Dada bohoraaa[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji125]
MreportYule itakuwa muongo tu
Nitakufa bure juu yako dada lemi sergio.Umekosa shape tu kama Ebitoke lakn sura mko sawa ungekuwa na shape benpol angekuweka ndani
Kweliiiii we una hiyo hiyo moja ukipewa ban mpaka iishe sio leo mwenzio anajibadilishia tu mimi jaman napotezea aiseee100%
DJ sepetu
Ngoja nikausheMpotezee atakupa tena ban ujue wenzio wana i'd nyingiii washazoea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fanyia kazi ushauri wa muosha rungu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jinsia zinahama kwa kasi
Woiiiiiiii. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Dera ten nitapiganaje sas niko na pensi hap
Nini mbaya buda??Sungura kamla tembo![emoji23]
DJ sepetu
Cousin [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] binamuuuShunie nieleze maana ya cuzoo!
DJ sepetu
Nikiamka asubuhi nikiona imebadilika lazima nikutafute maana najua wewe pia itakuwa imebadilika tubadirishane[emoji23]Fanyia kazi ushauri wa muosha rungu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jinsia zinahama kwa kasi
Dada huyo mzushi tu anataka kutufitinisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kapatwaa kivipi?
Hilo ndio la muhimu [emoji122] [emoji122]Ngoja nikaushe
Ulale unono cuzoo [emoji8][emoji8][emoji8]Wapendwa mlale Salama.
Please naomba mchunge jinsia zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikiamka asubuhi nikiona imebadilika lazima nikutafute maana najua wewe pianutakuwa imebadilika tubadirishane[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we hayo maneno huyaoni[emoji23] [emoji23] paaaap nimekuwa muhenga
Wonders never cease!
DJ sepetu