Hivi mods ndo wanajua yupi me na yupi ke?Naona members wa jf mmejipa kazi ya mods kujua yupi ke Na yupi me
Hongera zenu!
DJ sepetu
Sasa registration ndo itathibitisha vipi mimi ni me au ke?Dada Mimi naona hilo ni jukumu lao maana ndio wanaopitia registration
DJ sepetu
Ee tueleweshe wanawezaje kujuaMods waongeze intelligence yao
Labda nieleweshe members vip wanaweza jua yup ke au me
DJ sepetu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji126] [emoji126] [emoji126]hakuna bahati mbaya zote nzuri tu
ila msimu wa kutaga mayai utafika mie niko kwenye kingo za moyo wako nakusubiri niyatunze hayo mayai
Imefungwa na kufuli funguo imetupwa baharini
mimi ni mvuvi mzuri tu najitosa baharini kuitafutaImefungwa na kufuli funguo imetupwa baharini
Me najua kufanya hivyo ni sehemu ya sadaka ....sasa nataka kufanya hvyo kama sadaka tuWaooh habari nzuri sana hizi, nini kimekusukuma kufanya hivi kwa maana baadhi ya watu hawawezi??
Sent from my iDevice using Tapatalk
[emoji38] [emoji38] [emoji38] kuna papa huko utamezwamimi ni mvuvi mzuri tu najitosa baharini kuitafuta
niko radhi mama ila Mungu atanipigania[emoji38] [emoji38] [emoji38] kuna papa huko utamezwa
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]niko radhi mama ila Mungu atanipigania
Uchokozi huu ......huyu wa sasa kafunga dimba na tupo katika hatua za mwisho kuelekea katika nusu ya diniMara ya kwanza uliitupa kisha jamaa Fulani akaiokoa na kufanya yake[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Hahaaa. Ningeondoka zangu kimya kimya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora ulipitwa na ulivyo muoga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alikua hayupo masikini huyo muoga kama wewe ujue angelog out kabisa