Ila watu wana mambo dadaa.Halaf sasa yule jamaan na i'd yake ya pili ndio nikakumbuka alimuweka emmyta kumsema ndio mwenye ile picha
Ila uoga unasaidia saa nyingine ujue. [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuona yaan we na emmyta ni waoga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikamwambia tuliza mtori hakutokea tena[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivyo mlikula nae sahani moja. Hongereni nyote ndio mana nawakubali.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carba nae muoga kwa mbaliiii linamo na sakayo bana mpaka mwisho
Dada na mimi pia bana sio peke yako.Itabidi muwe mnanipitia na mim niende mazoezin[emoji24][emoji24]
Mmh. Mdogo wangu.Ila Jf kuna wadada wanajisikiaaa mamaaaa utafikiri wahaendi choooni!???!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo muoga kama emmyta
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Jina lake tafadhali
Kitu chochote ukitaka kufanya lazima uwe na "nia" .....penye nia pana njiaKwa kipato chako unaweza hili kwa maana ya majengo
Na mambo mengine
DJ sepetu
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Ila hiyo combination ya Linamo, shunie na emyta naikubali sana haijawahi kumuacha mtu salama....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]emmyta anatuangusha ana uoga flan kama ukhuty wao rahisi kukimbia wakizidiwa ujue sisi mpaka mwisho
Mwenzenu huwa nalala mapema kama kuku. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shoga leo niko ngangari ile mbaya siumeona mpk time hii nipo active nangoj mtu tu aropoke ataiona habari yangu cc emmyta[emoji1][emoji1][emoji1][emoji6][emoji6]
Ukitaka uliza utajibiwa usiwazeNauliza maswali bado yanaendelea???
Sent from my iDevice using Tapatalk
anhaaUkitaka uliza utajibiwa usiwaze
Sawa utabarikiwaMe najua kufanya hivyo ni sehemu ya sadaka ....sasa nataka kufanya hvyo kama sadaka tu
Suala la ajira kwa vijana kwa sasa ni changamoto kubwa..........unazungumziaje suala la ajira na vijana?? vipi uonavyo wewe vijana wanashirikishwa vyema kujua fursa za ajira??
Sent from my iDevice using Tapatalk