Aisee...nitamleta numbisaMkuu inabidi uje ghetto ila l respect you[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Hivi si nilishakujibu me na hizo mambo za drama humu tofauti acha niwe msomaji tuShunie wewe zamu yako lini
Lazima ajeShunie hawezi kuja!
DJ sepetu
Sawa mama,wala usijaribu maana tutajua mengi.Hivi si nilishakujibu me na hizo mambo za drama humu tofauti acha niwe msomaji tu
Sasa unanihusu nini au unasababisha vipii nisije usinitaje kwa mambo za kijingaUle mtanange wa Jana.....
DJ sepetu
Nipo ndugu yanguLazima aje
Wala sithububutu hizo mambo acha wengine tuwe wasomaji YoungbloodSawa mama,wala usijaribu maana tutajua mengi.
Shogaaangu kumbe we tapeliHivi si nilishakujibu me na hizo mambo za drama humu tofauti acha niwe msomaji tu
Jana kala kichambo hadi kakimbilia polisiUle mtanange wa Jana.....
DJ sepetu
Nalala kidogo,akija mtaniamsha.Anakuja bhana anaweka makeup sawa!
DJ sepetu
Achana na huyo muosha rungu mpenzNipo ndugu yangu
Ukiamshwa na mimi unishtueNalala kidogo,akija mtaniamsha.