Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Unatuthibitishiaje?Jose hakuna picha halisi hapa zote ana download
Kazi ipoOooh even ya kwanza ipo huko insta[emoji28]
Kwani ni ugomvi mpaka zivunjikeNgoja zivunjikie ndo mkomee
Ziko huko insta labda kama hizo acc za insta ni zakeUnatuthibitishiaje?
Duu inaweza kuwa yake my[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo picha ilishaletwa humu ujue richa basi huyo mtu anaileta aliiba kwako
Zile account tofautitofauti mbona..picha hizihizi kwa watu tofautiLabda huko insta ni acc yake [emoji1][emoji1]
Subiri inakujaNdo maana mi nataka yake halisi
We subiri uoneKwani ni ugomvi mpaka zivunjike
Kwa nani nikaangalieZiko huko insta labda kama hizo acc za insta ni zake
Inawezekana mama sabrina sijambishia ila huyo mkaka aliyeleta mmu alitaja kabisa jina ni ya member mmoja wa kike humu ila sio jina la richaabraDuu inaweza kuwa yake my
Nenda acc za udaku wale wanaotangaza dawa za makalioKwa nani nikaangalie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anatafuta makinikia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwenye ubora wako kabisa richaabra
Kabisa tena wanaotangaza dawa za kuongeza makalioZile account tofautitofauti mbona..picha hizihizi kwa watu tofauti
Ooohh tate nane...
Nakuja pm unitumie nying uko mkuu
Hata mimk nimeonaKwa mengine sijui lakini kwa picha hakuna userious
Mchukue Antonia akili isharuka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa shunie unaonaje ukaweka huo uzi hapa ,weka link tukajionee nae aseme kuwa ni yeye au sio[emoji23][emoji23][emoji23]Inawezekana mama sabrina sijambishia ila huyo mkaka aliyeleta mmu alitaja kabisa jina ni ya member mmoja wa kike humu ila sio jina la richaabra