Nimeona swahiba.Swahiba hujaona makinikia hayo
Silaha ya mtoto wa kizaramo ni mdomo bibieeeMama sabrina tulia interview iendelee
Hahaaaa kamfungie kabisaNamuona tu ameshachanganyikiwa.lol
Hongera sanaNdipo mboni za macho yangu zilipotua
Wabwanga mshikamane [emoji1][emoji1][emoji1]Ooohh tate nane...
Angalia picha ya juu hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kichambo nachompaga Bashite ni ujasiri kuweka full pic [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji38] [emoji108]Umeamua kuwa real na live sasa kuonesha yote usisite bibie
dooh! mwalimu sio mtu mzuriBikra yenyewe nilitolewa na mwalimu wangu wa chuo lakini
Yaanu huu mchezo huwa hauhitaji hasira wala kukurupuka kumcheza mwanao anaweza akapotea maana unaweza ukamfanya aache shule kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kujibu tu maswali mkuu. Nipo nafatilia interviewSilaha ya mtoto wa kizaramo ni mdomo bibieee
Ntatoa kichambo kwa mmoja mmoja hadi mtaacha majungu wanawake wa jf[emoji108]
Ulifutwa haujachukua dk 5 si unajua mods sio wa mchezo mchezoSasa shunie unaonaje ukaweka huo uzi hapa ,weka link tukajionee nae aseme kuwa ni yeye au sio[emoji23][emoji23][emoji23]
Angalieni kuna kichambo toka kwa mtoto wa kizaramoAngalia picha ya juu hiyo
Nimeiona ina nini dada ake. [emoji23] [emoji23]Angalia picha ya juu hiyo
Shogaangu hebu leta hiyo page ya udaku uliyoona picha zangu weka ushahidi bibi weeeMim kweli nimepigwa pasi ,,etu hizo picha ni zako ndio wanataka kujua
Halaf hapo mi nimezungumzia hao wa udaku wanaoweka picha za wadada wenye makalio
Haya tujibu
HukumbukiiiiiiIlikuwa ya nani dada?
AyaaUlifutwa haujachukua dk 5 si unajua mods sio wa mchezo mchezo
Muulize Linamo ndio kaziona na hizo zako ulizotundika humuShogaangu hebu leta hiyo page ya udaku uliyoona picha zangu weka ushahidi bibi weee
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angalieni kuna kichambo toka kwa mtoto wa kizaramo
Au ndio ile uloniambia siku ile nini?Hukumbukiiiiii
Marafiki zangu wa shule ya msingi hadi sekondari walikuwa waongeaji na wale wa chuo walikuwa wadada wa kupiga bata tuShuleni ulipenda zaidi marafiki Wa aina gani
Kwanini
Kituko gani uliwah Fanya shule
DJ sepetu