Hahaaa mm nimekoma jaman ila kabla sijakoma ngoja nimalizie wwAhahhahaa hawezi kuelewa akiona chura akili zinamruka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usimtishe mzee wa chura bhana[emoji23] [emoji23]
hatari sana[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Atakuja bila shaka. Ubuyuuuu !!!Numbisa ukuje huku mama
Atakuja bila shaka. Ubuyuuuu !!!
Handsome Erick Etieno!
DJ sepetu
Halafu naomba niku host this weekend
DJ sepetu
Tena nitaomba mkojo niupime usije kuwa dume Na midevu yake!
DJ sepetu
Ila wewe umeshindika serious Nina hamu ya kujua a lot kukuhusu
DJ sepetu
Daah msangangongolwaNimechezwa ngoma mkoleni nikiwa na miaka 15 ilikuwa uzaramoni msanga huko..kikubwa kilichoninufaisha mkoleni ni kufundwa na kufundishwa maadili mema pia bila kusahau ufundi wa kumkatikia vizuri mtoto wa kiume thats why mimi huwa siachwi na mwanaume labda niamue mwenyewe kumuacha[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa richaabra etiHuo mzigo wa nani?