[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Najua nikijibu hapa wanawake wa jf watapinga ila kuchuna nishawachuna sana na juzi kuna kidudu mtu kanifungulia uzi kimya kimya hapa
Hatupingi mamyNajua nikijibu hapa wanawake wa jf watapinga ila kuchuna nishawachuna sana na juzi kuna kidudu mtu kanifungulia uzi kimya kimya hapa
EeehhBibieeee ... Tako kiti cha enzi sina haja na masofa[emoji108] [emoji108] [emoji108]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeehh
Samahani
Mwambie sisi asitujibu akujibu wewe turichaabra uko slowly
DJ sepetu
Akirudi hapo atakuja na kichambo [emoji1]Amesikia mzaramo!
DJ sepetu
Nilianza na draya 1 tu yaani mtaji wa sh 300000 tuBiashara yako ya saluni ulianza Na mtaji kiasi gan
Mashemeji wamechangia kiasi gan
Kwa siku nzuri unapata faida kiasi gan
DJ sepetu
Kwa kweli yuko slowly, ila hii mida nayo[emoji17]richaabra uko slowly
DJ sepetu
Haha umesema ushirikina je wewe hujawahi kwenda kwa mtaalamu?Mtaji ulikuwa sana hadi kipindi cha mwaka 2015 nlikuwa na madraya 4 na kutoa ajira kwa mtu mmoja ila sasa kama kawaida ya waswahili palipo na riziki fitina ndipo mahali pake
Ushirikina ukaanza kujiinua yaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya wataalam kwa mtoto wa kizaramo ni kawaidaaa babuuHaha umesema ushirikina je wewe hujawahi kwenda kwa mtaalamu?
Aidha kwa mapenz au kazi!?
Baada ya kugundua unarogwa umechukua hatua zip
DJ sepetu