Aiseee sasa mbona unaniqot mimi au unataka kunivunjia ndoa yangu kwa mbitiMwenye id ya ngamiani naomba uache kunitongoza inbox tena unikome shetani wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mm nakupenda niumbue basiWewe ngamiani nikome sitembei na na watoto mfyuuuu.... naona unatafuta wa kukupakata kwa nguvu... sitaki pm zako in short sikupendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie huyo huyo ngamian mimi ni nanyupu na nina mpenz humu ndanMwenye id ya ngamiani naomba uache kunitongoza inbox tena unikome shetani wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mweee!Wewe ngamiani nikome sitembei na na watoto mfyuuuu.... naona unatafuta wa kukupakata kwa nguvu... sitaki pm zako in short sikupendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka kukuharibia bikira uliyoitunza kwa miaka 30 huyu!Wewe ngamiani nikome sitembei na na watoto mfyuuuu.... naona unatafuta wa kukupakata kwa nguvu... sitaki pm zako in short sikupendi
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha mungu akusamehe bure braza
haha mkuu si mchezoAnataka kukuharibia bikira uliyoitunza kwa miaka 30 huyu!
DJ sepetu
Nimeamin kweli wewe ni richard kumbe una id nying siyo? Lengo ni kutapel watuMwenye id ya ngamiani naomba uache kunitongoza inbox tena unikome shetani wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
mwaga haha hebu nifichue hapa jukwaani nifahamikeAkome kunitumia pm zake za nitamwaga picha zake zote hapa nimuumbue mxiewwww
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu zote ni ID zake angalia mwaka wa kuzaliwa kwenye profile ni jan 30 1992 kwa zotehaha braza richaabra unaweweseka na ID zako feki
umeamua uweke avatar ya dada ako ili utambulike na wewe ni ke?
Asikutishe bhana hata hiyo ni id yake huyo huyo richard abdalahahaha mungu akusamehe bure braza
Mwanaume machineNyooo mwanaume mwenyewe hata kutongoza hajui na sura yenyewe ni mbovu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Richard ana id mbili[emoji23] [emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Mkuu huyu richard ana id mbili[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sio kweli
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
hahaaha haya @richaaba