Lkn tupo kweny ndoa zetu ujue alihamdullilahMmeshaambiwa hamjui mapenzi...!
Nani kakubishia mkuu.
Habi basi usije ukatia mguu kwenyw sufuria ya mchuzi.
Lkn tupo kweny ndoa zetu ujue alihamdullilah
Hatuko hivyo sie kaja moto sisi katukuta baridi ndio mana naye kapoa.Ha ha ha, mi nimeshangaa dada anawachamba nyie mnamwangalia tu.
Msiniangushe bana, mpeni zake.
Hatujui kweli ndio mana tumetulia na waume zetu wanaojua mapenzi tumewaacha wahangaike
Hatuko hivyo sie kaja moto sisi katukuta baridi ndio mana naye kapoa.
Sio hulka yetu hiyo.
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji1]Hapa mimi nafanya kuchochea bifu tu, msikubali mpeni maneno yake.
Aisee. Umetuangalia vizuri lakini hatuna akili za kindezi sie.Hapa mimi nafanya kuchochea bifu tu, msikubali mpeni maneno yake.
Kabisa dada na kama alitegemea varangati atasubiri sana.Sisi sio wa hivyo mkuu kila mtu na tabia yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani kakubishia mkuu.
Habi basi usije ukatia mguu kwenye sufuria ya mchuzi.
Karibu san
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]Maskini interview yangu
DJ sepetu
Kabisa hatuna akili za kushikiwa sie. [emoji23] [emoji23]Atasubiri aiseee
Hahaaaaa. Na kwako pia. Karibu.
[emoji51][emoji51][emoji51]Richaabra simuoni
DJ sepetu