Kwa wewe mchukue tu wala haina tatizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vp mtoto wa kike mbona wivu jomon nimekuchukulia bwana?
Hhaaaaaaa si mara zote lakini[emoji38][emoji38] [emoji38] [emoji38] shogaangu una hasila na mimi
Hapo sasa wanapenda magauni sana hilo ndo tatizo[emoji23] [emoji23]Wala hujakosea sababu we unatumia i'd ya kike huku ukiwa ni me na mi nitakuwa hivyo hivyo mwanamke huwezi kabisa kujisifu ujinga ule kama hautakuja kuzaa au hautakuja kuolewa ulitaka nitetee ule upumbavu
Haaaaaa kwa kufyonzwa au wivu wa nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na ndio nimekuja kuwachamba pusi nyie msio na haya wivu tu
Maraa paaaaap mwanamke kawa mwanaume[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwenzangu hata kama sina nauli nikopeshe tu swahiba maana si kwa burudani hizi za kupenda uanamke[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usishuke bana swahiba haya yote utayapata wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Miss chagga pia ndo adhabu yake hiyo[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Linamo wataka upende uanaume na wewe ni KE[emoji12] [emoji12]Mwenzangu hata kama sina nauli nikopeshe tu swahiba maana si kwa burudani hizi za kupenda uanamke[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimependa hili jibu ujue linafaa kuombea mkopo bank[emoji28] [emoji28] [emoji28]Hatujui kweli ndio mana tumetulia na waume zetu wanaojua mapenzi tumewaacha wahangaike
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mwanaume??Miss chaga yule ndio mwanaume sasa angalia vizuri comment zake utamuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Anamuhudumia mume anakuja
DJ sepetu
Sergio bhana[emoji23] [emoji23]Jau jau