Naona bado hunielewi yani haya unayoandika hapa kwangu si chochote.Kapige mswaki kwanza ndio unijibu bush lonya ww[emoji13] [emoji13]
Ama kweli leo ni siku yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] umekuja na I'd nyingine au weka uthibitisho
Kiendacho kwa mganga hakirud mkuu hiyo uneliwaWewe ni tapeli tu eti unanitishia ban?
Rudisha pesa yangu ya nauli nliyokutumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakin mkuu acha kumuita mwenzako pimbi sio poa kabisaUnaajichekeaha nini pimbi ww.. we ni beberu alafu unazuga na id ya dadaako..
hili taperi mazee
Narudia kukuambia hivi tafuta hela acha kuleta stress zako hapa.We dekio tu yaani pimbi la usagara
Ninawalishe nyumba yenu yote.
Hizi nyau saana arif..iyo manzi imepost mswambanda ikawa kero tayariMkuu jf kumeibuka kichaka cha matapeli na hili swala tutalifikisha kwa mod watu wanatumia id za kike kwa utapeli huyu shunie nimemtumia nauli na hakutokea
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]dooh!nasubiri screenshots tu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nicheke aisee angeuliza kwanza mana huko pm situmiii woiiii sijui nauli nimemuombajeee
Hilo pimbi tu tena la ushorombo
Au ulimfungulia uzi [emoji23][emoji23][emoji23]Aweke na screenshot chat pumbavuuuuu zake eti nauli mm na shida ya kuomba pesa mfyuuuuuuu pm situmii muulize nilimuomba wapiiii nipo apaaa
Ila anakamsambwanda kama kakoYaani nilichogundua hizo gagula ni pasi za kihindi hatarii
Hii manzi imewaumiza mioyo kuweka mswambanda[emoji13] [emoji13]
Bas sawa mkuu lakin msamehe tu mkuu shunie ni shemej yanguHilo pimbi tu tena la ushorombo
Mana hii imekuja na moto[emoji23][emoji23][emoji23]si kwa kulipuka huku etNipo apa tena nachaj simu yangu aweke muosha rungu ndio ajiongeze sasa watu wana id kumi humu
Siku zote nimekuwa na mashaka na hii i.dIla anakamsambwanda kama kako