Love you die sinyorita[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji41]Dada angu tafuta wanaume wengne mm sikutaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui ndo picha yake hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kanikosea sna jaman nimemkosea nini mimi
Furahi mwaya maisha mafupi haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kama chizi ujue
Baba d ugoroo ..imbacile[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiii shunie huyooooo natamani baba d wangu ungekuepo ucheke mpaka basi
Kazi ipoooo !!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui ndo picha yake hiyo
Yaani acha tu,dunia ina mamboKazi ipoooo !!!!
Unasingiziwa kuwa huyo ndiye wewe? Makubwa. Kwema lakini Shunie? Za masiku?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiii shunie huyooooo natamani baba d wangu ungekuepo ucheke mpaka basi
Muosha rungu beiiiibeeee interview yangu liniBeibe interview imegeuka baraza!
DJ sepetu
Mtoto mzuri endelea kujitanua achana na matango pori yaliyooza hayo[emoji13] [emoji13] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji41]
Haaaaaaaaa cuzooo kwani umebadilika lini[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] linamoooo njooo umuone shunie
Paaap mara kabadilika..shoga yako kawa kinyonga?[emoji36] [emoji36]Haaaaaaaaa cuzooo kwani umebadilika lini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Doh ana tapatapa sanaaaPaaap mara kabadilika..shoga yako kawa kinyonga?[emoji36] [emoji36]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sura iyo uliitumia nauli basi afya yako ya akili itakuwa haiko sawaUsijifanye kujicheka dada nachotaka ni hela yangu cz tulichat kwenye whsp video call so sina mashaka na hii sura kuwa sio ww cz ndio niliyoiona
Sent using Jamii Forums mobile app