Hafahamu kabisaaaa atuulize sisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakyamungu
Pole mdogo wangu..... Hakika hajui anaongea na nani huyoo
Yes wii miss you.My wii
Huyu kama ni mke wako hamna shida ya kuwa na wivu,hakuna mwanaume atatongoza hapo.[emoji23]Kwanza watu wa ivyo hata vijijini hawapo nowdays
Atakuwa ametumwa huyu si bure.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hawanisumbui kabisa ujue angeuliza kwanza huko pm Nina mwaka siitumii
Umeonaee... Amezoea kuzoa picha hukoooHafahamu kabisaaaa atuulize sisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SureHuyu kama ni mke wako hamna shida ya kuwa na wivu,hakuna mwanaume atatongoza hapo.[emoji23]
Wala hafai kuitwa Shunie rapa.... Hahaaa kuna watu kweeeli[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Dada muone huyo shunie jaman kweliii angetafuta hata kapicha kazuri basi woiiii shunie rapa apatikana
Hatudanganyiki now nasubiri muamalaUmeonaee... Amezoea kuzoa picha hukooo
Tena jana sijui, haoniii kama anajichoreshaNa usikute ni picha za ndg zake mana zimepigwa mwaka huu. [emoji1][emoji1][emoji1]
HahahaYaan nacheka sina mbavu huo ndio uthibitisho ujue wa shunie dada
Kaona haijaeleweka[emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] naona kaenda kujipanga akuje kivingine
Sergio nadhani wote humu tumebadilishwa jinsia leoMaraa paaaa youngblood anakuwa Faiza fox
Haoniii muamalaaHatudanganyiki now nasubiri muamala
Yani ni bonge la muongo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuniharibia hawezi wanaonijua mnanijua nilivyo cuzoo ye aweke uthibitisho
YaaniKajidanganya aisee