DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Habarini vijana kwa wakongwe! dimaa @emmyta
Mabibi kwa mabwana! Inna mshipa
Waliooa na bado wapowapo! @Darby saint uvuga
Waliolewa na wenye madanga yao! Numbisa Mama Sabrina
Tumsifu Yesu kristo!
Aslaamu alekhum!
Mwalamtse!
Poleni ktk Kazi na karibu tena kwenye mkabala Wa mwishoni mwa juma!
Leo kuanzia mida ya saa kumi na moja jioni tunayo furaha kumkaribisha kikaangoni dada yetu mzuri na msheshi Ulweso akijibu maswali ya DJ na sisi wote!
Karibuni sana!!!
Shouting to
Sakayo @emmyta @asprini ukhuty bushmen Mwifwa Shunie Linamo @khatwe mahondaw @demisss MBITIYAZA Davet Smart911
Na wote