Usiache space kati ya jina na hiyo @Kutag Kazi duh!
Uwe unaandika herufi sahihi ukiwa unatutag ndio tutapata notifications.Habarini vijana kwa wakongwe!@dimaa @emmyta
Mabibi kwa mabwana!@inna mshipa
Waliooa na bado wapowapo!@Darby saint uvuga
Waliolewa na wenye madanga yao!@numbisa Mama Sabrina
Tumsifu Yesu kristo!
Aslaamu alekhum!
Mwalamtse!
Poleni ktk Kazi na karibu tena kwenye mkabala Wa mwishoni mwa juma!
Leo kuanzia mida ya saa kumi na moja jioni tunayo furaha kumkaribisha kikaangoni dada yetu mzuri na msheshi Ulweso akijibu maswali ya DJ na sisi wote!
Karibuni sana!!!
Shouting to
Sakayo@emmyta@asprini@ukhuty@bushmen@mwifwa@shunie@linamo@khatwe@mahondaw@demisss@mbitiyaza@Davet@smart911
Na wote
Haha mwite babu yako saint uvuga mana alivyo andikwa hatapata notifictinUwe unaandika herufi sahihi ukiwa unatutag ndio tutapata notifications.
Nishawahi sit hapa.
Hako kazee sina hami nacho kaache tu kasipate notifications[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha mwite babu yako saint uvuga mana alivyo andikwa hatapata notifictin
Amekufanyaje tena best yangu.......ntakwambia nko wap kule kwa prime ministerHako kazee sina hami nacho kaache tu kasipate notifications[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona siku hizi umeadimika sana, kulikoni??
Nataka nije nifuatilie huyu mrembo akinikonga moyo namzimikia, sasa hako kazee kakiwepo lazima nikose changu maana kanajiita sukari ya waremboAmekufanyaje tena best yangu.......ntakwambia nko wap kule kwa prime minister
Hahahah kivuruge huyooNataka nije nifuatilie huyu mrembo akinikonga moyo namzimikia, sasa hako kazee kakiwepo lazima nikose changu maana kanajiita sukari ya warembo
Umeona eeehh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah kivuruge huyoo
mie nimekumiss tu[emoji7] dada
Mie pia mdogo wangu. [emoji7] [emoji7]mie nimekumiss tu[emoji7] dada