Rudi nyuma kidogo kama page 8 au 9 utajua kila kituUnafikiria lini kuolewa?
Hivi mrembo ni mtu aloolewa au ambaye hajaolewa?Rudi nyuma kidogo kama page 8 au 9 utajua kila kitu
AsanteMkuu mwanamke yeyote aidha ameolewa au la akiwa mzuri bhasi anaitwa mrembo
Mzee kakufundisha nani?Mkuu mwanamke yeyote aidha ameolewa au la akiwa mzuri bhasi anaitwa mrembo
Unaunga mkono hoja?, wakati yupo wrongAsante
Kazi kwako, tafuta lugha fasahaUnaunga mkono hoja?, wakati yupo wrong
Sasa unajua maana yake au unaongea tu?embu anza kuweka yako kwanza!..mrembo gani anajiita Ulweso bhana.,kaweka picha?
Mrembo ni ambaye hajaolewaKazi kwako, tafuta lugha fasaha
Namshangaa huyu kiumbe hivi urembo ungekuwa unapotea walio olewa na kuachika au kuzaa wangepata waume wengine sijui wawapi huyu mtuSio kweli urembo hauishi kwa kuolewa au kuzaa,huyo unayemsema anaitwa banati
Tena sana unaweza kaa ktk kundi la single mabinti lakini mtu akakupoint mpaka unashangaa jamani mbona mabinti hao?Anachekesha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti hajui watu wanazeeka na urembo wao!Tena sana unaweza kaa ktk kundi la single mabinti lakini mtu akakupoint mpaka unashangaa jamani mbona mabinti hao?
Jibu nimekuona wewe naye analeta za kijijini ukiolewa unaanza kunywa matapu tapu a.k mateka wima
Atuonyeshe mrembo wake yeye si ajabu dada zake wamenyata!!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] eti hajui watu wanazeeka na urembo wao!
Kwakweli apambane tu hali yake basi, angalizo asitikise tu zawengine[emoji28] [emoji28] [emoji28]True apambane na hali yake tu!
...mi nna sura ngumu na chachu;weka wewe 'mrembo' nikuthaminishe kama kweli!Sasa unajua maana yake au unaongea tu?embu anza kuweka yako kwanza!
Kama nani haswa maana tayari nilisha tathiminishwa na nikaonekana hakuna mwingine zaidi yangu...mi nna sura ngumu na chachu;weka wewe 'mrembo' nikuthaminishe kama kweli!