Mcheza Viduku
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 1,111
- 2,754
Umri 23-30, uwe Mkristo wa dhehebu lolote, uwe wa kabila lolote ili mradi unaishi Mwanza, elimu kuanzia kidato cha 4 na kuendelea, usiwe mnene sana wala mwembamba sana, uwe mweupe au maji ya kunde lakini usiwe mweusi na usiwe unajichubua, uwe mrefu kiasi, hata kama unakunywa pombe sio tatizo, usiwe mvuta sigara au bangi, uwe na kazi au huna, uwe unafanya biashara au hapana, usijifanye una uzungu wa kuigaiga, onesha maisha yako halisi, kama umezaa asizidi mtoto mmoja
UKIWA NA VIGEZO IVO NITAKUPOKEA KAMA RAFIKI YANGU, BAADAE UTAKUWA RAFIKI YANGU, PANAPO MAJAALIWA UTAKUWA MKE WANGU.
Mimi nina 35 years, naishi Mwanza, ni Mkristo wa dhehebu la RC, ni Msukuma, niliishia kidato cha 2, ni mnene kiasi, mweupe kiasi, sio mfupi na wala huwezi kuniita mrefu nina ft 5.5, nakunywa pombe, napenda kuishi maisha yangu halisi, Ni Mshereheshaji (Master of Ceremony) pamoja na vibiashara vingine vidogo vidogo.
TUKIPATANA, TUTAANZA TARATIBU ZA KUFAHAMIANA KWA PICHA, TUKIWA SERIOUS TUTAANZA TARATIBU ZA KUFAHAMIANA ANA KWA ANA, TUKIKUBALIANA TUTAANZA TARATIBU ZA AWALI ZA URAFIKI.
Karibuni PM.