DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Inahuzunisha sana kukatisha uhai Wa binadamu bila sababu za msingi
Hivi wakati Wa kwichikwichi hamkuona kuwa kuna matokeo!!
Jamani vijana wenzangu msitekeleze watoto kwani ni chanzo cha hili janga tukubali kuwalea watoto wetu tena tusikatae mimba tulee kwani kitanda hakizai haramu
Tukumbuke kuwa Mungu anatuona na Siku si nyingi tutatoa hesabu!
Wengine wanatoa na wengine wanafadhiri dhambi hii!!
Usimuhofie binadamu muogope Mungu tu!
Na kwanini ujiwekee DOA maisha yako yote