Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kwa muda mrefu sasa, wachezaji wa soka wa kike hapa Tanzania wamekuwa wakikumbana na maneno ya kashfa kuhusu muonekano wao, ambapo baadhi ya watu hudai kuwa wanajiweka kwa mtindo wa kiume, hali inayoondoa uhalisia wao kama wanawake. Hii siyo tu kwamba inaathiri kisaikolojia bali pia inapuuzia jitihada kubwa ambazo hawa wachezaji wanazifanya kupeperusha bendera ya nchi katika medani za soka.
Pia, Soma:
+ Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?
Nyota wa Tanzania Victoria Maselle anaechezea timu ya Tophat GA Navy 06/07 nchini Marekani amewavutia wengi baada ya kuwasili kambini nchini Morocco kujiunga na timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” inayoendelea na maandalizi ya michezo miwili ya kirafiki kwenye kalenda ya FIFA dhidi ya Morocco na Senegal mwishoni mwa mwezi Twiga Stars.