Mrembo wa kutoka nae out(maalum kwa wadada tu)

mkali kwanza

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,301
Reaction score
1,181
Natafuta dada wa kunipa company wikiendi inayokuja. Mimi ni mrefu,mweupe,mnene kiasi.kwa mdada aliye interested ani pm au apige namba 0767 681 302.Wale mnaopenda kukatisha watu tamaa tafadhalini hii haiwahusu,samahani kwa hilo.ASANTE
 
mwanaume wa nini wakati mimi mwanaume we vipi jomba?kama wewe unapenda wanaume wenzako katafute
 
Toa ToR kabisa tujue kampani gani unataka. Tuko kidigitali zaidi.
 
mkali kwanza kwani mtihani ulivyorudiwa kusahihishwa ulifeli? Fanya mpango hata VETA uende tu sasa dada za watu unawasaka kama luba ili uwafanye nini? si uende kwanza shule?
 
Last edited by a moderator:

Duuuuuh........

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Duuuuhhh......

Back
Top Bottom