Humu ni kama mtaa flani hivi!!
Pigia mfano umetupwa humu kitaa kutafuta mwandani utamdanda nani!hata kama unafunga nae ndoa smile lako hadi gego litaonekana!
Mimi ningemdanda nanihii hadi angeniona keroooo!
Halafu kama ilivyo mtaani kuna wengine ajili ya tabia au muonekano unasema huyu hata kama ndoa ya mkeka natimuu mbio!
Kwa imani yangu ningeoa wanne.
1: Nalendwa niweze kupa vichwa
2: Inna nipate watoto wapole
3: Mzigua90 Nipate HBs na Pretty girls
4: Demis
Vipi hapo DJ. Hii haijalishi hata kama ni kipusa cha mtu.
Kwa imani yangu ningeoa wanne.
1: Nalendwa niweze kupa vichwa
2: Inna nipate watoto wapole
3: Mzigua90 Nipate HBs na Pretty girls
4: Demis
Vipi hapo DJ. Hii haijalishi hata kama ni kipusa cha mtu.