Ulitutosa juzi kati hapa fatilia post za johana na mimiKwanini usiwanyakue tu humu hadi unifate kwa warembo wangu
Fatilia posts za johana naimani utaona sikumbuki ilikuwa uzi upiKtk Uzi gani nifatilie
OkNitafatilia
JifarijiKuni za kwenye kichanja huzicheka zilizo motoni
Ni member wa jf anaedate na kapeaceNimemjua aliyekuchanganya!
Who is adolay!?
Wacha watu wajilie vinonoDaah!
Wapi unahamia??Nahama
Hahahahaha ndo watu washachangamkia fursa we ukalaza damu ukapokonywa tonge mdomoniUtajua nahamia wapi muda sio mrefu
Siwez shuhudia ukiliwa
Ya njia ngapi?Hao wengi spinsters
tuombe muujizaKama iko iko tu