Mrija na kikombe

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Happy friday mabibi na mabwana wa JF/MMU.

Nina swali la kizushi mwenzenu. Unapokunywa soda unapendelea kunywa kwa mrija au kwa chupa?
 
Happy friday mabibi na mabwana wa JF/MMU.

Nina swali la kizushi mwenzenu. Unapokunywa soda unapendelea kunywa kwa mrija au kwa chupa?
Just a totally worthless, idiotic thread
 
soda ni soda tu babu, ilimradi ni kiburudisho! kama ukipenda kunywea kwenye kikombe cha plastic nadhani hata ile ya mwanakijiji utanywea hata kwenye kifuniko.
Comrade Ngabu,</p>
<p>&nbsp;</p>
<p>Hii soda ni real au ndo kama ya &quot;mwanakijiji&quot;?
 
Najaribu kutafakari kwanza hiyo kunywa kwa mrija au chupa ndo kukoje..................

Ngabu mtata sana...kwenye taito kasema soda na kikombe.............. afu huku ndani imegeuka kunywa soda kwa mrija au chupa!

Mtata sana huyu mtu.
 
Najaribu kutafakari kwanza hiyo kunywa kwa mrija au chupa ndo kukoje..................

Oh ni hivi....kunywa kwa mrija ni unachukua mrija halafu unautumbukiza kwenye chupa au bilauri na kuanza kunyonya kimiminika kilichomo ndani yake.

Kunywa kwa chupa ni unafungua kisoda au kizibo halafu unaiweka chupa mdomo na kuanza kufyonza kilichomo ndani yake.
 
bado ni quiz!!! nitarudi badae!!!
 
hehehe, aspirin, sasa kuna glass kama jagi,hiyo hapana. ila nadhani kwenye maisha kila mtu ana-set trend ya maisha.ila saa ingine kupiga tarumbeta labda ina starehe yake?

Kweli King'asti.... hata hapa chini nimekusoma vema
 
mi napenda kuinywa kama ilivyo nipate uasilia wake bt km cjaizoe mfano coca huwa nainywa kwa glasi icje kunipalia bure!
 
hehehe, aspirin, sasa kuna glass kama jagi,hiyo hapana. ila nadhani kwenye maisha kila mtu ana-set trend ya maisha.ila saa ingine kupiga tarumbeta labda ina starehe yake?

Ewaaa.... raha ya tarumbeta ulimi unagusana na chupa....wacha kabisa, soda inakuwa tamu sana!
 
Any of the two!

what do you have to say? I hope you will not stop here, no wonder Yo Yo Said it is totally worthless and idiotic thread........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…