Mrija na kikombe

Kweli miafrika ndivyo yalivyo...kwahiyo wewe shule tu ndo umejifunza kitu?!Pole sana!

Sasa shuleni wee ulienda kufanya nini? Kucheza mdako na kuruka kamba?
 
Sasa shuleni wee ulienda kufanya nini? Kucheza mdako na kuruka kamba?

Among other things YES!Hata huko ni kujifunza...maana inawezekana pamoja na kupoteza miaka kadhaa shule hujui viungo navyo vinahitaji mazoezi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…