GLORY TO GOD
Member
- Oct 15, 2012
- 45
- 12
Pole sana Mkuu@[URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=105943"]GLORY TO GOD[/URL] sasa wewe badala ya kwenda Hospitali kutibiwa unakuja hapa kutaka ushauri kuhusu hilo tatizo lako la sikio ?Vipi mkuu nenda Hospiatali watakusafisha kukutoa huo uchafu ulikuwamo ndani ya sikio fanya upesi kabla ya sikio lako kuongezeka tatizo lingine .Habari ndugu zanguni!
naombeni msaada ju ya tatizo hili:
skio haliumi(halina maumivu) bali linamngurumo wa sauti mfano wa mdudu nyenze mlio ambao hunikera skioni na kunipa hofu maana si hali ya kawaida yafika mwaka sasa nimetumia dawa za hospitali na za kienyeji bila mafanikio.
Mkuu
GLORY TO GOD, pole,
Nashindwa kuelewa kama ni tatizo ulilo nalo KWELI, maana mara kadhaa
umekuwa ukianzisha uzi/nyuzi mbalimbali kutaka ushauri na pia kutoa
ushauri, na sidhani kama lingekuwa tatizo halisi(real) usingelizungumzia
kabla!
Anyway, ni dawa gani za hospitali ulizitumia, na kwanini walikupa dawa
hizo?Je, uliwaeleza tatizo lilivyo kama ulivyoeleza hapa? kwa maana,
kama mkuu MziziMkavu alivyosema ni vyema kwenda
hospitali kuchunguzwa yaani kujua aina hasa ya tatizo kwa
vipimo,..lakini kama U mbali na hospitali hebu toa maelezo zaidi ya
tatizo lako.