Mrisho Gambo ajitolea Mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Arusha

Mrisho Gambo ajitolea Mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Arusha

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Tawala CCM leo amekabidhi mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Kata ya Olmot Arusha

Hongera Gambo kwa kuwa mfano wa kuigwa na kuamua kujiwekea hazina mbinguni

FB_IMG_16301625396803505.jpg

FB_IMG_16301625255026761.jpg
 
Hela ya serikali Ni ya serikali na serikali sisi tuna Jenga sisi Ni Freemason hata ukipinga ndo tunasepa
 
Kulitakiwa kuwe na habari alafu kutoa simenti iwe kanyongeza!! Yaani wanaume wazima tunakaa kujadili mifuko ya simenti!??!
wanaojenga kabisa kanisa zima na wanatulia kimya jee?? Ukiskia uzwazwa ndohuu sasa!!!
 
Tena inayojadiliwa ni mifuko 100🙌🙌
 
Komredi Gambo ni mfano wa KUIGWA.....

#NchiKwanza
#MshikamanoUendelee
#SiempreJMT
 
Sijui kwanini watu wanamkasirikia😳😳
Chuki huviza mioyo.....

Mh.Gambo aliwadhibiti vyema CHADEMA na makundi ya KISIASA YA CCM kipindi kileee katibu wa CCM akiwa mama Mary Chatanda......

Maadui wa ndani+ Maadui wa nje 🤣🤣🤣

YETZER HA-TOV
 
Chuki huviza mioyo.....

Mh.Gambo aliwadhibiti vyema CHADEMA na makundi ya KISIASA YA CCM kipindi kileee katibu wa CCM akiwa mama Mary Chatanda......

Maadui wa ndani+ Maadui wa nje 🤣🤣🤣

YETZER HA-TOV

Naona makasiriko tuu yanazidi

Mrisho mwenyewe kimyaaaa anafanya kazi zake tuu
 
Back
Top Bottom