Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Alafu tunajiuliza kwann tanzania ni maskini.Mbunge wa Arus5 Mjini KUPITIA CCM leo amekabidhi mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Kata ya Olmot Arusha
View attachment 1913000
View attachment 1913001
Hela gani Tena hela ndo hizi hizi we tafuta zako usitoe kanisani kula mwenyeweTunashida na shule, vituo vya na barabara..
Hao wakanisa hawana hela zao wajenge wenyewe
Tunashida na shule, vituo vya na barabara..
Hao wakanisa hawana hela zao wajenge wenyewe
Kulitakiwa kuwe na habari alafu kutoa simenti iwe kanyongeza!! Yaani wanaume wazima tunakaa kujadili mifuko ya simenti!??!
wanaojenga kabisa kanisa zima na wanatulia kimya jee?? Ukiskia uzwazwa ndohuu sasa!!!
1.5 to 1.8M nayo ya kupost ??Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Tawala CCM leo amekabidhi mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Kata ya Olmot Arusha
Hongera Gambo kwa kuwa mfano wa kuigwa na kuamua kujiwekea hazina mbinguni
View attachment 1913000
View attachment 1913001
Hii siyo habari hasa kipindi hiki kigumu wakati sisi wana ccm tukiwa kwenye majinzi ya kuondokewa na kada wetu maarufuMbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Tawala CCM leo amekabidhi mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Kata ya Olmot Arusha
Hongera Gambo kwa kuwa mfano wa kuigwa na kuamua kujiwekea hazina mbinguni
View attachment 1913000
View attachment 1913001
🤣🤣🤣🤣1.5 to 1.8M nayo ya kupost ??
Mh mbunge kabisa?
Komredi Gambo ni mfano wa KUIGWA.....
#NchiKwanza
#MshikamanoUendelee
#SiempreJMT
Chuki huviza mioyo.....Sijui kwanini watu wanamkasirikia😳😳
Chuki huviza mioyo.....
Mh.Gambo aliwadhibiti vyema CHADEMA na makundi ya KISIASA YA CCM kipindi kileee katibu wa CCM akiwa mama Mary Chatanda......
Maadui wa ndani+ Maadui wa nje 🤣🤣🤣
YETZER HA-TOV
Majungu si mtaji 🤣🤣Naona makasiriko tuu yanazidi
Mrisho mwenyewe kimyaaaa anafanya kazi zake tuu