Pre GE2025 Mrisho Gambo: CCM tumekaa tumesema sisi 2025 mgombea wetu ni Dkt. Samia, wewe yasiyokuhusu unapiga porojo unapoteza muda

Pre GE2025 Mrisho Gambo: CCM tumekaa tumesema sisi 2025 mgombea wetu ni Dkt. Samia, wewe yasiyokuhusu unapiga porojo unapoteza muda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo amesema Chama cha Mapinduzi na wanachama wake wameshafanya maamuzi ya kumteua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea wa Urais hivyo wanaopiga kelele wanapaswa kukaa kimya kwa sababu wao sio wanachama wa Chama hicho.

Soma, Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

Gambo ameyasema hayo leo tarehe 19 Februari, 2025 Jijini Arusha wakati wa hafla ya Uhamasishaji wa kutoa Elimu ya Nishati Safi kwa Viongozi wa Baraza la Wazee Arusha ambapo anatumia fursa hiyo kueleza mafanikio na utekelezaji wa miradi ya Maendeleo Jimbo la Arusha Mjini


Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Back
Top Bottom