Pre GE2025 Mrisho Gambo: Godbless Lema aliniambia mzigo anaoupiga Rais Samia umenifanya hata hamu ya kugombea iniishe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
"Nilikutana siku moja na mjomba wangu, Lema, akaniambia: 'Bwana, ni hivi tu, mimi ni mpinzani, siwezi kusema hadharani, lakini nataka niwaambie—mzigo anaoupiga Dkt. Samia umenifanya hata hamu ya kugombea iniishe.'"

"Sasa, kama mtu kama Lema ameanza kuwa na hekima, basi ujue tuko karibu kuiona pepo. Kwa sababu sisi tunayemjua Lema, duniani hayupo, wala ahera hayupo! Lakini leo hii anaweza kutambua kazi kubwa anayoifanya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan—hiyo ni heshima kubwa kwa kiongozi wetu."

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kauli hiyo imetolewa leo, Februari 19, 2025, na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mhe. Mrisho Gambo, alipokuwa akielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo jijini humo.

Nadhani hakuna rais alieongoza kwa kupambwa kama huyu! Laiti hayo mapambio yangekuwa uhalisia, nchi ingekuwa kama Dubai Kwa sasa.
Dunia nzima hakuna we mpaka mbio za magari zimepewa jina lake, shoo za comedy , vifungo vya mashati ,vikombe, fashion pia wamemuweka,

Inahitaji akili uelewe kwanini wanatumia nguvu kubwa hivi?
 
Mrisho Gambo hata kwa muonekano tu anajionesha ana shida kichwani na amekaa dharau.
 
Dunia nzima hakuna we mpaka mbio za magari zimepewa jina lake, shoo za comedy , vifungo vya mashati ,vikombe, fashion pia wamemuweka,

Inahitaji akili uelewe kwanini wanatumia nguvu kubwa hivi?
Ana uwezo duni sana
 
"Nilikutana siku moja na mjomba wangu, Lema, akaniambia: 'Bwana, ni hivi tu, mimi ni mpinzani, siwezi kusema hadharani, lakini nataka niwaambie—mzigo anaoupiga Dkt. Samia umenifanya hata hamu ya kugombea iniishe.'"

"Sasa, kama mtu kama Lema ameanza kuwa na hekima, basi ujue tuko karibu kuiona pepo. Kwa sababu sisi tunayemjua Lema, duniani hayupo, wala ahera hayupo! Lakini leo hii anaweza kutambua kazi kubwa anayoifanya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan—hiyo ni heshima kubwa kwa kiongozi wetu."

Kauli hiyo imetolewa leo, Februari 19, 2025, na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mhe. Mrisho Gambo, alipokuwa akielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo jijini humo.

Yaani Gambo kwakuwa yeye anaishi kwa kumsifia rais, anadhani kila ni kama yeye.
 
Lakini vilevile hata wewe Gambo hukupaswa kutoa siri ya huyo Mjombaako.Huna maadili mema.
 
"Nilikutana siku moja na mjomba wangu, Lema, akaniambia: 'Bwana, ni hivi tu, mimi ni mpinzani, siwezi kusema hadharani, lakini nataka niwaambie—mzigo anaoupiga Dkt. Samia umenifanya hata hamu ya kugombea iniishe.'"

"Sasa, kama mtu kama Lema ameanza kuwa na hekima, basi ujue tuko karibu kuiona pepo. Kwa sababu sisi tunayemjua Lema, duniani hayupo, wala ahera hayupo! Lakini leo hii anaweza kutambua kazi kubwa anayoifanya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan—hiyo ni heshima kubwa kwa kiongozi wetu."

Kauli hiyo imetolewa leo, Februari 19, 2025, na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mhe. Mrisho Gambo, alipokuwa akielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo jijini humo.

hivi gambo hajui kama lema ameoa na wakristo ndoa ni mke mmoja
 
Lema hana lolote huyo, anataka tu kuteuliwa na kuonewa huruma ili arudi nyumbani bila wasiwasi. Nyumbani kutamu wewe asikudanganye mtu.
 
Njaa inamsumbuwa sana MDANGANYIKA!
MAITI kabisa kichwani!
 
Huyu gambho hawadanganye misukule sio watu smart.a ameona maji yamemfika shingoni anaanza uchawa uchwara .
 
Back
Top Bottom