"Nilikutana siku moja na mjomba wangu, Lema, akaniambia: 'Bwana, ni hivi tu, mimi ni mpinzani, siwezi kusema hadharani, lakini nataka niwaambie—mzigo anaoupiga Dkt. Samia umenifanya hata hamu ya kugombea iniishe.'"
"Sasa, kama mtu kama Lema ameanza kuwa na hekima, basi ujue tuko karibu kuiona pepo. Kwa sababu sisi tunayemjua Lema, duniani hayupo, wala ahera hayupo! Lakini leo hii anaweza kutambua kazi kubwa anayoifanya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan—hiyo ni heshima kubwa kwa kiongozi wetu."
Kauli hiyo imetolewa leo, Februari 19, 2025, na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mhe. Mrisho Gambo, alipokuwa akielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo jijini humo.