chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.
Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na serikali. Gambo amekuwa akituhumiwa kuwachongea maneno ya uongo viongozi wenzake Mkoa wa Arusha na kuendesha siasa za fitna na majungu