Ahamie wanakofuga madevuKuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.
Hakuna mwanaccm anaweza kufanya siasa nje ya ccm, kwani wanaccm wote hutegemea mbeleko ya vyombo vya dola na sio ushawishi wa hoja.Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.
Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na serikali. Gambo amekuwa akituhumiwa kuwachongea maneno ya uongo viongozi wenzake Mkoa wa Arusha na kuendesha siasa za fitna na majungu
Waanzilishi wengi kwa mazingira halisi wangetoka ccm wakati huo, kwani nchi ilikuwa ya chama kimoja. Hivyo wakati ule ndio ilikuwa uhalisia. Lakini haina mahusiano na ulichoquote toka kwangu.Waanzilishi wa chadema wote ni wana CCM, chadema ni extension ya CCM, plan B ya Lumumba
Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.
Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na serikali. Gambo amekuwa akituhumiwa kuwachongea maneno ya uongo viongozi wenzake Mkoa wa Arusha na kuendesha siasa za fitna na majungu
🤣😂😅Hamas?
Jimbo linagawanywa mara mbili. Tume ishasema ni moja ya majimbo yatakayogawanywa. Watawindana kuhakikisha kila moja anagombea jimbo tofauti na huenda wote wakawa wabungeMakonda kamtia la kati Mrisho Gambo.
Shida amezubaa halaf ali invest katika kutembelea viugomvi vidogo vidogo wakati arusha ilitaka kiongozi.Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.
Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na serikali. Gambo amekuwa akituhumiwa kuwachongea maneno ya uongo viongozi wenzake Mkoa wa Arusha na kuendesha siasa za fitna na majungu
Ili akapate nini huko?Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.
Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na serikali. Gambo amekuwa akituhumiwa kuwachongea maneno ya uongo viongozi wenzake Mkoa wa Arusha na kuendesha siasa za fitna na majungu
Hii itakuwa move mbaya sana kwake, akomae huko huko CCMKuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.
Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na serikali. Gambo amekuwa akituhumiwa kuwachongea maneno ya uongo viongozi wenzake Mkoa wa Arusha na kuendesha siasa za fitna na majungu
Hata kwa sasa Chadema ni plan B ya wale wana CCM wasiomtaka SamiaWaanzilishi wengi kwa mazingira halisi wangetoka ccm wakati huo, kwani nchi ilikuwa ya chama kimoja. Hivyo wakati ule ndio ilikuwa uhalisia. Lakini haina mahusiano na ulichoquote toka kwangu.
Aliekuwa boss wake ambae kwa sasa ni marehemu hayupo hivyo saa hivi gambos hana makali tena ndio maana kabaki mnyonge kam 7yaKuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.
Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na serikali. Gambo amekuwa akituhumiwa kuwachongea maneno ya uongo viongozi wenzake Mkoa wa Arusha na kuendesha siasa za fitna na majungu
Ule ujinga wa cdm kuokota wanaccm kama Lowassa hauwezi kurudiwa tena.Hata kwa sasa Chadema ni plan B ya wale wana CCM wasiomtaka Samia