Huyu niSuala la Machinga si jambo jepesi hata kidogo. Hakuna mtu anayependa kuwa mmachinga bali maisha ndio yamewafikisha hapo. Hakuna anayependa kupanga vitu vyake barabarani apigwe na jua au anyeshewe na mvua au agongwe na gari.
Changamoto kubwa ni ukosefu wa ajira na Kazi ya Machinga imekuwa ni sehemu ya kupumulia.
Hili si suala la mchezo ni kuhusu maisha ya watu tena watu wanyonge kabisa. Hapa tusisukumwe na Wafanyabiasha Wakubwa wakati tunashughulikia suala la MACHINGA.
Ni jambo linalohitaji utulivu na kuangalia mustakabali wa maisha ya watu."
Nimependa sana alivyojivua uwajibikaji..kwamba wafanyabiashara wakubwa ndio wachawi wa mamachinga....kwahiyo lawama ziende kwa wafanyabiashara wakubwa sio kwao wanasiasa na serikali.Suala la Machinga si jambo jepesi hata kidogo. Hakuna mtu anayependa kuwa mmachinga bali maisha ndio yamewafikisha hapo. Hakuna anayependa kupanga vitu vyake barabarani apigwe na jua au anyeshewe na mvua au agongwe na gari.
Changamoto kubwa ni ukosefu wa ajira na Kazi ya Machinga imekuwa ni sehemu ya kupumulia.
Hili si suala la mchezo ni kuhusu maisha ya watu tena watu wanyonge kabisa. Hapa tusisukumwe na Wafanyabiasha Wakubwa wakati tunashughulikia suala la MACHINGA.
Ni jambo linalohitaji utulivu na kuangalia mustakabali wa maisha ya watu.
Mrisho Gambo
Mbunge-Arusha Mjini
View attachment 1932006
Mrisho Gambo usitafute sifa za kijinga.Suala la Machinga si jambo jepesi hata kidogo. Hakuna mtu anayependa kuwa mmachinga bali maisha ndio yamewafikisha hapo. Hakuna anayependa kupanga vitu vyake barabarani apigwe na jua au anyeshewe na mvua au agongwe na gari.
Changamoto kubwa ni ukosefu wa ajira na Kazi ya Machinga imekuwa ni sehemu ya kupumulia.
Hili si suala la mchezo ni kuhusu maisha ya watu tena watu wanyonge kabisa. Hapa tusisukumwe na Wafanyabiasha Wakubwa wakati tunashughulikia suala la MACHINGA.
Ni jambo linalohitaji utulivu na kuangalia mustakabali wa maisha ya watu.
Mrisho Gambo
Mbunge-Arusha Mjini
View attachment 1932006
Kwani machinga wako dar tu?Kwani huyu ni mbunge wa dsm?
Suala la Machinga si jambo jepesi hata kidogo. Hakuna mtu anayependa kuwa mmachinga bali maisha ndio yamewafikisha hapo. Hakuna anayependa kupanga vitu vyake barabarani apigwe na jua au anyeshewe na mvua au agongwe na gari.
Changamoto kubwa ni ukosefu wa ajira na Kazi ya Machinga imekuwa ni sehemu ya kupumulia.
Hili si suala la mchezo ni kuhusu maisha ya watu tena watu wanyonge kabisa. Hapa tusisukumwe na Wafanyabiasha Wakubwa wakati tunashughulikia suala la MACHINGA.
Ni jambo linalohitaji utulivu na kuangalia mustakabali wa maisha ya watu.
Mrisho Gambo
Mbunge-Arusha Mjini
View attachment 1932006
Shangaa na wewe mkuuKwani huyu ni mbunge wa dsm?
Msameheni bure ndio upeo wake wa kufiri umeishia hapo. Nilitegemea aje na njia mbadala ya namna ya kuwa accommodate hawa Machinga lkn kwa kutetea uwepo wao katika hali hii mimi binafsi nimemsamehe.Suala la Machinga si jambo jepesi hata kidogo. Hakuna mtu anayependa kuwa mmachinga bali maisha ndio yamewafikisha hapo. Hakuna anayependa kupanga vitu vyake barabarani apigwe na jua au anyeshewe na mvua au agongwe na gari.