Mrisho Gambo: Tanzania kuna double standard, yapo maeneo maamuzi yanafanyika haraka kulimo mengine

Alikuwa na dharau sana maana hata mawaziri hakuwasikiliza,akina prof.Magembe.
ilikuwa ngumu sana kutoboa ndo maana hata sasa analia kuchezewa rafu na viongozi wa mkoa.
Mbona Hapi na Chalamila wamebaki? CCM ni ile ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…