Mrisho Khalfan Ngasa(kukipiga na Man u)

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Posts
4,587
Reaction score
580
Mrisho Khalfani Ngasa apata zali.Ameitwa na timu ya Seattle Sounders ya ligi kuu ya Marekani.AMEPEWA DAKIKA 15 za kuonyesha uwezo wake katika mechi kati ya Seattle NA Manchester United-mashetani wekundu zitakapo menyana mwezi ujao.

The Guardian
 
Zali gani sasa!..kwani manu wamemsajili.
 
Ovyo kabisa. Hivi huwezi kuandika kwa kiswahili cha kawaida?

Unaandika hovyoo na kuchanganya lugha. Sasa zali maana yake nini hapa?

Hivi kuna watu bado wanaona kuandika Kiswahili Creole ni sifa hadi leo? Yaani kuwa Dar ni ujiko?

Mbona mie nipo Sikonge tu hapa na sina complex yeyote? Naandika Kiswahili, Kinyamwezi, Kiyunani ila sina majungu kabisa ya kuonyesha umahiri wa kuchanganya Kiyunani na Kinyamwezi au kiyunani na Kiswahili.
 
Mnh,sasa akikipiga na manu alafu akavurunda nini kitatokea?
 
atakwenda kwenye majaribio na akifuzu atasajiliwa.
 
bwah aha ha ha ha ha ha si ajabu shoriz za kisukuma tamu sana
 

Muhanya, ma kamilo? vile kukaya nuigwa kwena nzala sana mwakono - hebu pozya kupute mkale!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…