Mrisho Mpoto anaweza kuwa hana copy ya album zake za mwanzo au hazisikilizi

Mrisho Mpoto anaweza kuwa hana copy ya album zake za mwanzo au hazisikilizi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mrisho Mpoto alianza enzi na mashairi yaliyomleta kwenye ramani akianza na lile la "Mpendwa mjomba, tumetengenishwa na ukuta..."

Watu wakamuelewa na namna yake ya kughani, wimbo wa mwisho wa aina hiyo ilikuwa Sizonje, baada ya hapo naona hali imekuwa tofuati.

Sidhani kama anaweza kukaa kusikiliza ngoma zake za wali kama anazo au alishazitupa.

Sipingi mabadiliko yake maana. Mbengo zemefongoka.
 
Alipoanza ile kampeni ya nyumba ni choo, nafikiri alikutana na vyoo tofauti kabisa na alivokua anapromote
 
Back
Top Bottom