Wadau siku za karibuni mtakumbuka kuwa Mrisho Mpoto alipewa za uso hapa jukwaani mara tu ya kutangaza nia ya kupambana na John Mnyika pale jimbo la ubungo 2015. Kweli nahisi huyu jamaa watu walikuwa wanamsubiri kwa hamu wampe vonge vyake na alivipata kweli. Sasa kaamua kuvaa viatu.