Hivi unafahamu kwamba maelezo yako hayajaeleweka ?
Unawahi wapi?
Kwanini usiandike kitu watu wakakuelewa badala ya kukurupuka namna hiii
ona sasa aibu gani hii unaleta hapa
na sisi wasanii tumetajwa napiga kura ndioWadau siku za karibuni mtakumbuka kuwa Mrisho Mpoto alipewa za uso hapa jukwaani mara tu ya kutangaza nia ya kupambana na John Mnyika pale jimbo la ubungo 2015. Kweli nahisi huyu jamaa watu walikuwa wanamsubiri kwa hamu wampe vonge vyake na alivipata kweli. Sasa kaamua kuvaa viatu.
Mada za fb hizi.
Wadau siku za karibuni mtakumbuka kuwa Mrisho Mpoto alipewa za uso hapa jukwaani mara tu ya kutangaza nia ya kupambana na John Mnyika pale jimbo la ubungo 2015. Kweli nahisi huyu jamaa watu walikuwa wanamsubiri kwa hamu wampe vonge vyake na alivipata kweli. Sasa kaamua kuvaa viatu.

Huyu jamaa mimi mastaili yake naona hata hapendezi. Kuvaa magauni na kuweka minywele ya kusuka ndio nini sasa kwa mwanaume! Eti hua anapekua barabarani ndio utamaduni gani! Watu wa mbugani wamasai wanavaa viatu nya ngozi za wanyama na tairi za gari yeye hapa mjini anapekua huku vyoo dar vinatiririsha uchafu barabarani. Usanii kama fani someni jamani sio mnarukia tu na kujidai..Wadau siku za karibuni mtakumbuka kuwa Mrisho Mpoto alipewa za uso hapa jukwaani mara tu ya kutangaza nia ya kupambana na John Mnyika pale jimbo la ubungo 2015. Kweli nahisi huyu jamaa watu walikuwa wanamsubiri kwa hamu wampe vonge vyake na alivipata kweli. Sasa kaamua kuvaa viatu.