Hahaahaa... Ameufyata...Unafikiri kutekwa kuzuri, Nyie watu mbona mnapenda kuchochea ugomvi wa hawa wasanii na serikali yao!!!
Alishatoa single ya SIZONJE kama angalizo tu so mengine atajiongeza mwenyewe huyo sizonje. Lakini jumbe za nyimbo za Mpoto hazichuji hata kwenye awamu hii bado zinaigusa ila sasa hivi ilibidi aongeze mambo ya kutokujaribiwa na kufumuliwa marinda.
Tender za matangazo mbalimbali ya wizara ndiyo yamemtia upofu ingawa pia huyo ni mnafiki by nature.Kwa Hali ya taharuki iliyopo nchini kila kukicha laiti kama ingekuwa ni awamu ile huyu Mpoto saivi angekuwa na album...
Sasa ni nani kamfumba mdomo huyu mwanamashairi maarufu asiyeona haya ikosoa Serikali..
Nakuuliza Mpoto
Mbona umekaa kimya sana!??
Kila kitu kiko sawa!??
Nani kakufumba mdomo!? Au umejifunga mwenyewe...!??
Ulivyokua wamchana Mjomba mbona sasa washindwa kwa Sizonje!??
Kuna nini Mpootooo... Nakuuliza wewe Mpoto.
hahahaahhaUnafikiri kutekwa kuzuri, Nyie watu mbona mnapenda kuchochea ugomvi wa hawa wasanii na serikali yao!!!
Alishatoa single ya SIZONJE kama angalizo tu so mengine atajiongeza mwenyewe huyo sizonje. Lakini jumbe za nyimbo za Mpoto hazichuji hata kwenye awamu hii bado zinaigusa ila sasa hivi ilibidi aongeze mambo ya kutokujaribiwa na kufumuliwa marinda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hali tete
siku hizi hadi viatu+T-shirt na jeans anavaa