Watz wengi ni wapiga domo, vitendo FWatu wajinga ndio wanaofanya huo ujinga, binafsi sijawahi kukaa nikamtegemea msanii kwenye mabadiliko.
Yani watanzania M60+ tuwategemee wasanii ambao hawafiki hata 100k eti watusemee changamoto zetu au watuunge mkono, kwangu huu ni ujinga kwasababu kwa wingi huo tunayonguvu kuliko hao wasanii.
Kwasasa sanaa ni biashara sio tena jukwaa la kusemea watu, ukiona unaowito wa kuwasemea watu, studio zipo wadau tupo tutakuchangia uingie studio.
Side effects za matendo yasiyo ya hakiMsanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake
Hii ndiyo post yenye Akili Kubwa (iliyosema Ukweli na Uhalisia) niliyoisoma hapa zingine naziona zimejaa tu Chuki Binafsi, Hasira na Wivu kwa Mafanikio ya Mtu.Watu wajinga ndio wanaofanya huo ujinga, binafsi sijawahi kukaa nikamtegemea msanii kwenye mabadiliko.
Yani watanzania M60+ tuwategemee wasanii ambao hawafiki hata 100k eti watusemee changamoto zetu au watuunge mkono, kwangu huu ni ujinga kwasababu kwa wingi huo tunayonguvu kuliko hao wasanii.
Kwasasa sanaa ni biashara sio tena jukwaa la kusemea watu, ukiona unaowito wa kuwasemea watu, studio zipo wadau tupo tutakuchangia uingie studio.
Sasa mambo kama haya ya kijinga kabisa anapeleka mtandaoni ili nini kitokee,aonewe huruma ama?Msanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake
KIFO CHA MAMA. October tunatikiMsanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake
Ndio mshahara wa kutumikia ccmMsanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake
,,,,,Jamaa Muhongo huyu.......Duuh Jamaa asije akawa amemtoa MKE WAKE KAFARA ili afikiriwe kwenye UBUNGE......Sidhani kama kuna mtu kamtukana.......Msanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake
Msanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake
.......Hawatapatikana kama tusipomsuport Lisu na CHADEMA ya NRNE...Hiyo yote ni ishara kubwa kwamba taifa letu limegawanyika. Watu wanaumizwa, watu wanatekwa, wanateswa nk...
Watawala wapo kimya wanaendelea na maisha yao, hakuna kiongozi anayekemea dhuluma, chuki, utekaji na kila aina ya uovu..
Wale wanaowaimbia au kusifia watawala ambao wapo kimya wakati mambo ya utekaji, utesaji, mauaji na rushwa yanaendelea wao pia wamekuwa kama maadui kwa wanaoteswa.....
Ndiyo maana leo hao wanaosifia au hata kuwa upande wa watawala wanapopata majanga (msiba, ajali nk) kuna baadhi ya watu (hasa ambao wameumizwa au kuguswa na utekaji, utesaji au mauaji nk) nao hufurahia.
Hali hii ni mbaya sana kwa taifa letu, tunahitaji kuwa pamoja kwa maana sisi sote ni ndugu wa mama Tanzania.
Mpasuko huu hauleti faida yoyote kwa taifa.
Tunahitaji viongozi wenye hekima ya kuwaunganisha watu na si kuwagawa kwa kujenga chuki na kisasi kati yao.
unajua mkate ulipundia serikali ya ufaransa au na wewe ujui maana source.Watu wajinga ndio wanaofanya huo ujinga, binafsi sijawahi kukaa nikamtegemea msanii kwenye mabadiliko.
Yani watanzania M60+ tuwategemee wasanii ambao hawafiki hata 100k eti watusemee changamoto zetu au watuunge mkono, kwangu huu ni ujinga kwasababu kwa wingi huo tunayonguvu kuliko hao wasanii.
Kwasasa sanaa ni biashara sio tena jukwaa la kusemea watu, ukiona unaowito wa kuwasemea watu, studio zipo wadau tupo tutakuchangia uingie studio.
......Wchawi ndio wapo hivyo......Kaua Mke wake huyu....ili apate uteuziSasa mtu umefiwa na mke mda kuzurura social media unapata wapi?
Naona fuso ya mwana CCM imepata ajali kule ShinyangaChadomo ni watu wa chuki, roho mbaya. Ni madikteta hatari sana.