Mrisho Mpoto: Kwanini wanamtukana Mke wangu?

Kwani wanamtukana kwa sababu hahawasemea matatizo yao?
 
Kama kucheka msibani dhambi, hata mi nilicheka πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Imagine kwenye comments mtu anaandika anajaribu kuvaa viatu vya mjomba πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Mjomba angekausha tu kama hajaona, au angefunga tu sehemu ya comments.
 
Kwa comments nilizoziona juu juu sidhani kama wamemtukana marehemu.

Hapa anapiga siasa
Marehemu hata akitukanwa hasikii!Hata voucher hataki,hata Njaa hasikii,Pole yake m mpito!
 
Reactions: Lax
Anapata wapi nguvu ya kusoma mitandaoni katika mapito magumu anayopita?
 
Reactions: Lax
Anasifia tu saivi hata amekuwa km amehasiwa nguvu zitatoka wapi juu ya bahasha anazopokea? Akili itatoka wapi ya kuyaona madhaifu?
Akisifia wewe kosoa,punguzeni ushamba kwenye maisha na maamuzi ya watu kwasababu kila mtu ana mtazamo wake.
 
Sipati picha siku akiondoka yeye, sijui kawakosea nini Watanzania maana huko nyuma alijengea heshima kubwa sana mbele ya jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…