Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu,
Mjomba kasema Rufiji kuwa Jiji chini ya Mohamed Mchengerwa
==
Msanii na mwanaharakati maarufu, Mrisho Mpoto, amepongeza kasi ya maendeleo yanayofanyika katika Wilaya ya Rufiji chini ya uongozi wa Mbunge Mohamed Mchengerwa.
Akizungumza katika viwanja vya Ujamaa, Rufiji, wakati wa Tamasha la Bibi Titi Memorial Festival, Mpoto alieleza matumaini yake kuwa Rufiji ipo njiani kupandishwa hadhi na kuwa jiji.
Pia, Soma: Rais Samia aipandisha hadhi wilaya Rufiji kwenda kwenye hatua ya kuwa Mji
Alisisitiza kuwa juhudi za Mchengerwa zimeleta maendeleo makubwa si tu mjini Rufiji bali pia katika vijiji vinavyouzunguka, na kuzidi kufungua fursa za kiuchumi na kijamii kwa wakazi wa eneo hilo.