Mjomba kasema Rufiji kuwa Jiji chini ya Mohamed Mchengerwa
==
Msanii na mwanaharakati maarufu, Mrisho Mpoto, amepongeza kasi ya maendeleo yanayofanyika katika Wilaya ya Rufiji chini ya uongozi wa Mbunge Mohamed Mchengerwa.
Akizungumza katika viwanja vya Ujamaa, Rufiji, wakati wa Tamasha la Bibi Titi Memorial Festival, Mpoto alieleza matumaini yake kuwa Rufiji ipo njiani kupandishwa hadhi na kuwa jiji.
Alisisitiza kuwa juhudi za Mchengerwa zimeleta maendeleo makubwa si tu mjini Rufiji bali pia katika vijiji vinavyouzunguka, na kuzidi kufungua fursa za kiuchumi na kijamii kwa wakazi wa eneo hilo.
Mjomba kasema Rufiji kuwa Jiji chini ya Mohamed Mchengerwa
==
Msanii na mwanaharakati maarufu, Mrisho Mpoto, amepongeza kasi ya maendeleo yanayofanyika katika Wilaya ya Rufiji chini ya uongozi wa Mbunge Mohamed Mchengerwa.
Akizungumza katika viwanja vya Ujamaa, Rufiji, wakati wa Tamasha la Bibi Titi Memorial Festival, Mpoto alieleza matumaini yake kuwa Rufiji ipo njiani kupandishwa hadhi na kuwa jiji.
Alisisitiza kuwa juhudi za Mchengerwa zimeleta maendeleo makubwa si tu mjini Rufiji bali pia katika vijiji vinavyouzunguka, na kuzidi kufungua fursa za kiuchumi na kijamii kwa wakazi wa eneo hilo. View attachment 3177136
Tunaambiwa skanka ni kali zaidi kuliko kushabo. Mpoto huenda alivuta skanka imemzingua. Rufiji ni ya kuwa jiji chini ya mchengerwa? Ina maana mchengerwa atakuwa mbunge mpaka hapo rufiji itakapokuwa kubwa iwe manispaa halafu ipandishwe hadhi iwe jiji! ni leo basi?