Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wana JF wasalaam
Leo msanii Mrisho Mpoto katoa wimbo mpya unao kwenda kwa jina la Kitendawili na kwenye wimbo huu amejikita kumpa nasaha sizonje na akimkumbusha kwanini alimuita Sizonje....
Kwa kweli ni ukweli ulio wazi Mrisho Mpoto ni bingwa wa mashairi na ushairi kwani humo kaongea mengi sana na kila atakaye usikiliza lazima aje na tasfiri yake na hii ndio kazi ya sanaa..
Nitajaribu kuweka baadhi ya mistari kwenye wimbo huo wa Kitendawili kama ifuatavyo....
Kuna Sehemu Mrisho mpoto ana mwambia Sizonje kuwa...,,Nilikuita Sizonje kwa sababu kila anaye ingia ndani ni lazima atoke nje kwa sababu Sizonje ...Sizo-za-nje,,
Pia Kuna sehemu anasema ,,Kama haujui bahari ilipo tumia mto kwenda,,
Pia anasema,,Kiukwli watu wanalia,wapo wanao lia kwa macho na wanao lia kimya kimya,,
Anaendele kusema ,,wapo wanao lia kwa kuhisi wamedanganywa,wapo wanao lia kwa kupoteza ndugu zao lakini wapo wanao lia kwa kuona kuna msiba kwao lakini marehemu ndio muandaaji,,
Anaendelea kusema,,Shida zilipo amia shuleni nikaona nikuwai kidogo Sizonje,mtoto anapoulizwa nani atalipa ada.? ...baba..,Yuko wapi?....... Kafa,,
Pia ana sema,,Mwalimu wafasihi anapo toa mfano wa mahiti zinazotembea...watoto wanalia tena kwa hiyo Sizo huku nje watu wote wanalia tofauti lakini msiba ni mmoja,unaonaje? tuzike kwanza au tuhesabu idadi za maiti zinazo tembea?,,
Anaendelea kusema,,Kuku ana hatua tatu za ukuaji wake tumuache kwanza atage na tujue wingi wa mayai yake,tuna msubiri atotoe tuhesbu vifaranga na mayai viza,,
Anasema tena,,Inawezekana kweli tumechoka maharage lakini kama tunataka nyama natusubiri kwanza banda lijae,,
Kwa kweli wana JF kila mmoja akipata wasaha wakusikiliza huu wimbo atakubaliana nami kuwa Mrisho mpoto bado yupo kwenye ubora wake...
Kassim Mganga kaweka chorus nzuri sana.
Wasalaam