Mrisho Mpoto: Sizonje huku nje watu wote wanalia vilio tofauti lakini msiba mmoja

Naona vyuma vimekaza Jamaa kaamua kujilipua...
Tumechoka "maharage"-CCM.
Tusubiri "nyama".... -CDM
Atavaa suruali muda Si mrefu... Ngoja akutane na Sizonje mwenyewe
 
Mjomba atumie vizuri pesa alizopewa na chama maana uku kwenye sanaa asitegemee kupata matokeo chanya kwa kua tabaka la chini ambao ni wateja wa bidhaa yake wana hasira na kila anaekiunga mkono chama wanaamini kua ni adui yao,subiri utaona mapokeo ya huu wimbo bila kujali ubora wake.
 
Una waongelea wakina nani hao wenye hasira naye?
 
Naona vyuma vimekaza Jamaa kaamua kujilipua...
Tumechoka "maharage"-CCM.
Tusubiri "nyama".... -CDM
Atavaa suruali muda Si mrefu... Ngoja akutane na Sizonje mwenyewe
Ni tafsiri yako tuu
 
Baada wa kutoka wimbo huu niliuweka kwenye repeat mode. Nimeusikiliza mara 20 Kidogo. Jamaa anajua kuandika mashairi yenye akili. Nasubiri kazi zake nyingine.BONGE LA MESEJI
 
Baada wa kutoka wimbo huu niliuweka kwenye repeat mode. Nimeusikiliza mara 20 Kidogo. Jamaa anajua kuandika mashairi yenye akili. Nasubiri kazi zake nyingine.BONGE LA MESEJI
hatari anajua sana
 
Useless muimba mapambio ya sifa katika matambiko yao.
 
Man Walter upande wa biti kazingua, ila nyimbo ina mashairi mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…