wakat mpoto mwenyewe ndio mliberali
Nasikia katangaza nia!! Naomba isiwe jimboni kwangu!
Binafsi napenda uandishi uliojificha kama wa Mpoto!
Sio watu wote wanamuelewa huyu jamaa, chukua muda kidogo kumsikiliza halafu tafakari, kama hujaelewa rejea tena na hatimae utapata utamu wa kulijua fumbo!
Sijajua kwanini wengi mnamsema ye mnafiki. Unafiki wake nini hasa?